Wasichana Wengi Mitandaoni Njaa, Ukimcheki tu Anakulilia Shida, Ushahidi Huu hapa



Wasichana Wengi huko mitandaoni hasa Facebook Wana swaga za kishamba na njaa kali ukimsalimia tu anageuka yatima anakufanya foundition au NGOs wanajiabisha kwakweli. Swagga hizo wakawale wengine lakini sio hapa mjini Dar es Salaama, wamefeli wabadilike.



Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad