Mbowe na Matiko Warudishwa Mahabusu Kusubiri Rufaa ya DPP
0
January 31, 2019
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe(Mbunge wa Hai) na Esther Matiko(Mbunge wa Tarime Mjini) warejeshwa gerezani kusubiri uamuzi wa Mahakama kuhusu maombi yao ya dhamana
-
Mahakama ya Rufaa Tanzania imesema kuwa itatoa uamuzi wa rufani iliyokatwa na DPP kuhusu kesi dhidi yao
-
Mahakama hiyo leo ilianza kusikiliza rufaa ya maombi ya dhamana ya Mwenyekiti na Mbunge huyo ambapo hoja tatu zimesikilizwa ikiwemo ya maombi ya dhamana