Wikiedn iliyopita , mchekeshaji mc pilipili amemvisha pete ya uchumba , mchumba wake wa siku nyingi tayari kwa ajili ya ndoa , lakini kutokana na sherai na taratibu za dini, mchekeshaji huyo anasema kuwa hawako tayari kufanya mapenzi maka pale watakapofunga ndoa .
Mc pilipili aliweka wazi kuwa alitoa mahali ya binti huyo kiasi cha shilingi milioni 8, na wala haoni shida kusubiri mpaka atakapofunga ndoa na binti huyo ambae ni chaguo lake.
ni kweli nimeokoka na ndioa maana kwenye sherehe ya mahaki hakukuwa na vinywaji vikali, hatyuishi pamoja na mpenzi wangu ila anaweza kuja nyumbani kupika, hatutagusana na mpenzi wangu mpaka tutakapofunga ndoa.
Mc ilipili anasema kuwa waliweza kukubaliana na mshenga kiasi cha shilingi milioni 8 lakini waliweza kuongea na kulipa milion 5 , mpaka sasa anadaiwa milioni 3.
MC Pilipili Alipa Mahali ya Milioni 8 Adai Kuwa Atogusana na Mchumba Wake Hadi Ndoa
0
January 07, 2019
Tags