Mc Pilipili Awapa Onyo Kali Wanaomnyemelea Mchumba Wake

Mc Pilipili Awapa Onyo Kali Wanaomnyemelea Mchumba Wake
Mchekeshaji MC Pilipili amefunguka na kuwamwagia Povu zito wanaume wote ambao watakuwa wanamnyemelea Mpenzi Wake Philomena Thadey ‘Mina’.

Siku chache zilizopita Mc Pilipili alitengeneza headlines Baada ya kuangua kilio wakati anamvalisha pete Mpenzi Wake ambapo alisema ilikuwa ni Furaha.

Lakini siku chache Baada ya tukio hilo Mc Pilipili amewatolea Povu wanaume wakware wote ambao wameanza kumtolea macho mpenzi wake Baada ya kuona amemgharamikia ikiwemo kutoa mahari  ya milioni 8.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mc pilipili ameweka video hii ambayo amewatahadharisha ambao walikuwa wanammendea mchumba Wake:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad