Meseji za Drake zavuja zikionesha akiomba kolabo kwa Soulja Boy


Rapper kutoka Canada, aliyehamishia makazi yake mitaa ya Hiden Hills California Aubrey Drake Graham alimaarufu Drake ambaye ilionesha kuwa na bifu kali kati yake na msanii mwenzake kutoka Marekani Soulja Boy baada ya Soulja Boy kdai kwamba Drake amemuiga staili yake ya kuimba ameingia kwenye inshu nyingine.


Drake na Soulja Boy bado mambo yao ya moto hii ni baada ya mtandao wa OnSmash kuvujisha meseji za Drake zikionesha akiomba kolabo kwa Soulja Boy ambaye amekuwa gumzo sana kwa sasa mitandaoni.


Soulja Boy na Drake wamekuwa kweny timbwili hilo hii ni baada ya Drake kutumia akaunti ya P Diddy akisema ” Kaa mbali na simu pamoja na kompyuta acha kuongea nenda kafanye kazi” kauli ambaye ilitafsiriwa kuwa ni dongo kwa Soulja Boy.


Meseji za Drake ndio hizi hapa:-


By Ally Juma.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad