Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo ameshiriki hafla ya makabidhiano ya mfumo mpya wa uwazi wa mawasiliano ya simu (TTMS) iliyoandaliwa na mamlaka ya mawasiliano ya Tanzania TCRA.
Akizungumza na umati wa watu waliojitokeza kwenye hafla hiyo Rais Magufuli amesema,"hivi punde tumeelezwa tangu mfumo huu ufanye kazi, umeleta faida, umeweza kutambua idadi ya watumiaji simu na internet, na serikali imepata bilioni 93.65, bila mfumo huu hizi bilioni zingekuwa kwenye mifuko ya watu".
Miongoni mwa majukumu ya mfumo huo mpya ni kupata takwimu za mawasiliano ya simu za ndani na nje ya nchi, ambazo zimekuwa zikiratibiwa na makampuni ya simu Tanzania, kuhakiki takwimu za mapato ya watoa huduma wa ndani, kupata takwimu za sauti, matumizi ya data na jumbe fupi, kujua simu za ulaghai, kutambua takwimu za gharama za ada fedha mtandaoni, kutambua taarifa za line za simu, kufungia simu zenye namba feki.
Akizungumza mbele ya hafla hiyo, Mkurugenzi wa TCRA, James Kilaba amesema, "watoa huduma walikuwa wanalipwa fedha kidogo na kampuni za nje za simu zilipokuwa zikiingia Tanzania lakini kwa mfumo huu wa TTMS kiwango cha fedha za kulipwa sasa kimeongezeka".
Canada needs 300,000 more workers from around the world to increase economic growth!
Canadian Visa Expert
|
Sponsored
This Drone Is The Most Amazing Invention of 2019. The Idea is Genius!
Dronex Pro
|
Sponsored
This Is How You Can Fix Your Sleeping Problems With Science
Addsolute
|
Sponsored
World's Scariest Bridges
Viral X Files
|
Sponsored
If You Eat Three Dates Every Day For One Week This Is What Happens To Your Body
Food Prevent
|
Sponsored
"Mnabahati, mngegoma tungefika pabaya"- JPM | East Africa Television
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amesema kuwa amefurahishwa na kitendo cha Kampuni ya Bharti Airtel, kukubaliana na serikali katika kubadilisha mfumo wa uwekezaji wao na muundo wa uongozi.
EATV
TOP STORIES
SPORT
“Shughuli ya Lechantre imekwisha”-Manara
SPORT
Ngoma ashindwa kuichezea Azam, Kagame
CURRENT AFFAIRS
Amuua mke mwenza na kumzika shambani
CURRENT AFFAIRS
Mbunge wa CHADEMA, ajiuzulu na kujiunga CCM
MOST POPULAR
LIFE & STYLE
Afikia mshindo mara 50 kwa siku
ENTERTAINMENT
Abdu Kiba afunguka chanzo cha kifo cha baba yake
CURRENT AFFAIRS
Gumzo, kiatu cha Kigwangalla alichovaa Ikulu
CURRENT AFFAIRS
Waziri mstaafu ataka kina Mbowe waachiwe
SPORT
Zahera awaonya Simba kuhusu AS Vital Club
ABOUT US
ABOUT USADVERTISEJOBSTERMS & CONDITIONSCONTACT USFREQUENTLY ASKED QUESTIONS
NETWORK
IPP MEDIAEAST AFRICA RADIOITVRADIO ONECAPITAL RADIOLOKOPROMO
© 2019 East Africa Television Limited. All Rights Reserved