Mkubwa Fella akerwa na tuhuma za kunyonya wasanii

Mkubwa Fella akerwa na tuhuma za kunyonya wasanii
Meneja wa wasanii  Mkubwa Fella amesema mara nyingi anapobua vipaji na kuwa vigumu ndipo zinaaza tuhuma kuwa anawaibia wasanii lakini wakati anaaza mwanzo hakuna anayekuwa naye.

Utakumbuka kuwa mubwa fella amekuwa akibua vipaji kupitia kituo chake cha mkubwa na wanawe ambapo wasanii wakubwa kama Aslay na Mbosso walianzia hapo.

"Fela ni mwizi lakini kuanzia utotoni huko hawaoni, wakishakuwa wakubwa wazuri, wanapendeza ndio inakuwa hivyo," amesema Fella.

Pia Fella amefunguka kuhamisha kituo cha hicho  ambapo kuanzia mwezi wa sita kitakua kwenye kata yake ya Kilungule ambayo yeye ni diwani.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad