» Mkuu Wa Operesheni Maalum Za Jeshi La Polisi Nchini Akutana Na Kuzungumza Na Kikosi Cha Kupambana Na Uhalifu

 » Mkuu Wa Operesheni Maalum Za Jeshi La Polisi Nchini Akutana Na Kuzungumza Na Kikosi Cha Kupambana Na Uhalifu
Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas, akizungumza na kikosi Maalum cha kupambana na uhalifu katika viwanja vya Kikosi cha kutuliza Ghasia Mkoa wa Mtwara, baada ya kuwasili katika ziara yake ya kikazi akitokea mkoani Ruvuma. (Picha na Jeshi la Polisi)

 » Mkuu Wa Operesheni Maalum Za Jeshi La Polisi Nchini Akutana Na Kuzungumza Na Kikosi Cha Kupambana Na Uhalifu

Wa kwanza kulia ni Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas, akishiliki mazoezi ya pamoja na kikosi maalum cha kupamba na na uhalifu Mkoa wa Mtwara baada ya kuwasili katika ziara yake  mkoani humo.
 
Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad