Msanii Snura Mushi aleza upekee wa mpenzi wake


Msanii wa Bongo Fleva, Snura Mushi amesema kuwa mpenzi wake, Minu Calypto amekuwa akijali sana watoto wake kuliko watu wanavyodhani. 

Akizugumza na Clouds FM amesema ni kitu ambacho kimekuwa kikimpa furaha kwenye mahusiano yao. 

"Anapenda familia yangu yaani anapenda watoto wangu na watoto wangu wanampenda sana. Tunaweza tukawa tunatoka na mtoto wangu wa mwisho akataka abaki nyumbani na mimi ndiyo nitoke," amesema. 

Snura Mushi na Minu Calypto ni wapenzi ambao pia wanafanya muziki. Wawili hao kwasasa wametoa ngoma yao ya pamoja inayokwenda kwa jina la Shoko.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad