Msemaji wa Simba SC, Haji Manara Alivyosherehekea Siku Yake ya Kuzaliwa

Msemaji wa Simba SC, Haji Manara Alivyosherehekea Siku Yake ya Kuzaliwa
Usiku wa jana  Msemaji wa Simba SC Haji Manara alifanya sherehe fupi ya kusherekea miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake. Baadhi ya watu maarufu pamoja na viongozi walialikwa kwenye shughuli hiyo iliyokuwa na uzinduzi wa bidhaa ya perfume ya Haji Manara pamoja na foundation yake

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad