Mtoto wangu hapendi nivae mlegezo - Nay wa Mitego


Msanii wa muziki Bongo, Nay wa Mitego amesema mtoto, Curtis  wake hapendi kumuona akiwa amevaa suruale mlegezo. 

Nay ameeleza kuwa ni mara kadhaa mwanaye amekuwa akimueleza juu ya tabia hiyo ambayo kwake imekuwa sugu sasa. 

"Curtis hapendi nivae mlegezo, kiukweli mimi ni mlevi wa mlegezo. Akaja akaniambia dady simama, nikasimama akaniambia dady pandisha suruali," amesema Nay wa Mitego. 

Ameendelea kwa kusema kuwa, 'Nikwamwambia nani amekuruhusu hiyo, akaniambia ninavuka nguo pandisha suruali,'. 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad