Mwanamuziki AY Ageukia Ufanya Biashara..Ampa Mtoto Wake Heshima Kubwa

Msanii mkubwa na mkongwe mweny mafanikio ya chinichini ambwene yesaya ametangaza kufungua kampuni ya usafirishaji huku ikiwa na jina la mtoto wake mpya  wa kiume wa kwanza tangu alipofunga ndoa na mwanamke wake kutoka Rwanda.

Msanii huyo ambae kwa sasa amekuwa akionyesha mafanikio yake sana hasa kupitia kufanya vitu mbalimbali vinavyohusiana na baishara, aliweka tangazo hilo katika ukurasa wake wa instagram huku akisema Coming soon.





Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad