From @mwijaku - Y.O.L.O - Matunda huonesha mti ulivyotunzwa,vivyo hivyo maneno ya mtu humjulisha alivyo..Kuna nyakati nakuwa na jicho la wivu la kutizama vitu vizuri na bora.
Cheti cha kuzaliwa cha Jacqueline Ntuyabaliwe kinaonyesha amezaliwa December 6,1978 kwa sasa ana miaka 40 ,lakini yupo bora na mwenye mvuto kuliko mabinti wengi wasio na uwezo wa kutunza heshima zao kwenye social media.
Ukiwa bora ,unazungukwa na watu bora na kudate na watu bora ,na kuzungumza vitu bora..utamu unakuja anayemmiliki Jacqueline Ntuyabaliwe ni Mengi.. GodFather ana utajiri wa $560 Million.
Ukweli ni kwamba , unatakiwa kuwa na standard ya wanawake/wanaume kudate nao kama haujaoa au kuolewa ,si kila mwanaume anayekuomba namba unampa na mwanaume si kila mwanamke anafaa kutongozwa.
Nipo ,DSM nasema nipo "Kigamboni" na hii hali ya hewa mmh ,Ila sample ya mwanamke kama Klyn hakuna,wenye sura nzuri wana tumbo,na wasio na tumbo hawana sura zuri ,wenye sura na tumbo hawana kimo kama cha Klyn :
Mwanamke ndiye humfanya mwanaume
ajione mwenye bahati,wakati wazee wengine wanazeeka vibaya ,Mengi anazeeka kuwa brother men.It is very simple to be happy ,but it is very difficult to be simple. JYES or NO ?