Mzee Eenda Ukweni kudai MAHARI ya Shilingi Mia Sitini, Vijana Waliniibia Mke



AyoTV na millardayo.com imempata Mzee Cronery Rushao mzaliwa wa Mkoa wa Kigoma lakini kwa sasa anaishi Mkoani Geita ambapo ameelezea wanawake ambao amefanikiwa kuwaoa huku akieleza kisa cha kuamua kwenda ukweni kwa mmoja wa wake zake kudai mahari ya Shilingi 160 baada ya Vijana kutembea na Mkewe.

 VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad