Mzee King Kiki- Amlilia Oliver Mtukudzi

Mzee King Kiki- Amlilia Oliver Mtukudzi
Msanii wa Mkongwe wa muziki nchini, Mzee King Kiki ameeleza kuguswa na kifo cha Oliver Mtukudzi kutokea nchini Zimbabwe.

Akizungumza na kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM amesema kuwa ameguswa na kifo hicho kutokana yeye alikuwa akiupenda sana muziki wake.

"Nimeshtushwa na kifo chake pili imeniuma sana kwa sababu nilikuwa nampenda na napenda kazi zake," amesema.

Oliver Mtukudzi aliyezaliwa September 22, 1952 Harare nchini Zimbabwe alifariki jana December 23, 2018. Ndiye msanii anayeongoza kwa kutoa albamu nyingi Afrika, akiwa ametoa zaidi ya 50.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad