Naibu Spika Mgeni Rasmi Mechi ya simba

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson kuwa mgeni rasmi

Mchezo huo wa kundi D utapigwa Jumamosi hii kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam kuanzia saa 10:00 jioni.

Taarifa ya Simba kwa vyombo vya habari imeeleza kuwa Naibu huyo Spika amekubali na amethibitisha kuwa atakuwepo uwanjani kuwaongoza mashabiki wa Simba na wapenda soka kwa ujumla.

Wapinzani wa Simba JS Sauora wanatarajiwa kufika nchini leo saa 4:00 usiku tayari kwa mchezo huo ambapo kesho Ijumaa watafanya mazoezi kwenye uwanja wa taifa ambao utatumika kwenye mchezo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad