Necta Wafunguka Kuhusu Matokeo Feki ya Kidato cha Nne Yanayotangazwa Mitandaoni

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), Charles Msonde amesema bado hawajatangaza matokeo ya kidato cha nne na kuwataka Wananchi kuachana na taarifa feki zilizosambazwa katika mitandao. 

Akizungimza na Nipashe Msonde alisema kuna baadhi ya watu ambao sio waaminifu na kazi yao ni kutengeneza taharuki kwa wananchi pasipo na sababu za msingi.

"Bado hatujatangaza matokeo na muda ukifika tutawatangazia kama ilivyo kwa miaka mingine na wananchi mtapata taarifa naomba muachene na taarifa feki katika mitandao," alisema Dk Msonde.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad