Nikki wa Pili kalibutua BAKULI la Yanga...Utaratibu Wanaotumia Kuomba Pesa Sio Kabisa


Mkali wa BongoFleva Nikki wa Pili kutoka kundi la #WEUSI ameponda utaratibu unaotumiwa na klabu ya Yanga kuchangisha mashabiki kwa style ya #BAKULI uwanjani siku za mechi zao.

Nikki anasema hata kama leo akitoa 2M kesho hawezi kutoa tena kwa hiyo viongozi wa Yanga wanatakiwa kufikiria mbali na kubuni mifumo ambavyo vitaiingizia klabu mapato lakini haya mambo yakutozana sadaka hayawezi kuwa endelevu.

Full story tayari ipo #YouTube kupitia #DaudaTV unaweza kuangalia kwa kirefu zaidi uhauri alioutoa Nikki.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad