Uongozi wa mwanamuziki Omary Faraji Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz umekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa msanii huyo amefariki dunia. Uongozi huo umesema hizo ni taarifa za uzushi na kwamba Dimpoz ni mzima na afya yake inaendelea kuimarika.
Ommy Dimpoz Azushiwa Kifo...... Meneja Wake Akanusha
0
January 05, 2019
Tags