Penzi jipya la Dogo Janja Lapamba Moto, Wa-Kiss Hadharani, Wapi Irene Uwoya?


Mwimbaji Dogo Janja amechukua headlines kwenye mitandao ya kijamii hii ni ya kusambaa kwa videos zikimuonyesha akiwa na mwanamke asiyefahamika jina na wengi kudai kuwa Irene Uwoya amepinduliwa kwa Dogo Janja, ikiwa mapa sasa wawili hao hawajaweka wazi kuachana.

Je ni kweli mwanamke huyo ni mpenzi mpya wa Dogo Janja? Bonyeza PLAY hapa chini kutazama full video.

VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad