Rais Magufuli aongoza Top 10 ya Marais wenye elimu ya juu zaidi Afrika

Rais Magufuli aongoza Top 10 ya Marais wenye elimu ya juu zaidi Afrika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ndiye Rais mwenye elimu zaidi barani Afrika kwa mujibu wa mtandao wa AnswerAfrica.

List hiyo imekuja siku chache tu baada ya tovuti nyingine ya Africa54, ambayo ilieleza kwamba Dk Magufuli anashika nafasi ya pili kwenye list ya Marais 5 bora Afrika.

Mtandao huo uliitumia nukuu ya mmoja kati ya mwana falsafa maarufu duniani Plato ambaye aliamini kwamba akili na elimu ni vipengele muhimu vya uongozi.

Angalia listi hiyo kamili.














Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad