Ray Kigosi Aitabiria Simba Kichapo Cha Mbwa Mwizi Misri


Msanii wa Bongo Movies Vicent Kigosi maarufu kwa jina la Ray ambaye pia ni shabiki maarufu wa klabu ya Yanga amesema Simba itachezea tena goli ano (5) huko Misri kama ilivyokuwa DR Congo.

“Na huko Misri tarehe 2 itakuwa ni kiama, mnapigwa tena 5 zilezile ‘khamsa.”

Full interview tayari ipo #YouTube unaweza kuiangalia hapo chini kwa kirefu zaidi kupitia #DaudaTv

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad