Mwijaku Atoa Bomu Lingine 'Rose Ndauka Anaumia kwa Sababu Alishatafunwa na MC Pilipili'

Rose Anaumia kwa Sababu Alishatafunwa na Mc pilipili:- Mwijaku
Jamaa ambaye alijapatia umarufu mkubwa kupitia tamthilia ya ‘Mahusiano’ Mwijaku ametia neno kwenye ndoa ya Mc Pilipili.Kwenye moja ya mahojiano Mwijaku alipoulizwa anazungumziaje ndoa ya Mc Pilipili ambaye wakati anavisha pete mpenzi wake alilia.

Hapo awali iliripotiwa kuwa mwanadada Rose ndauka anataka kufungua kesi mahakamani kwa ajili ya Mc pilipili baada ya kutangaza kuwa aliwahi kuwa na mahusiano nae ya kimapenzi jambo ambalo sio kweli.

Bila kuficha Mwijaku alijibu
“Tukubali pale hakuna ndoa ila Mc pilipili anaolewa na yule dada na natambua Rose Ndauka ameumia kwani umri wake unaenda na ajaolewa kwahiyo kuona lile tukio ameumia na ukizingatia alishatafunwa na Mc Pilipili siku za nyuma”


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad