Salah Azua Gumzo Baada ya Kufuta Akaunti Yake ya Instagram

Salah Azua Gumzo Baada ya Kufuta Akaunti Yake ya Instagram
Uamuzi wa nyota wa Liverpool, Mohamed Salah kufuta akaunti yake ya Instagram umezua gumzo kubwa.

Salah amefuta akaunti yake na kusababisha gumzo kuhusiana na uamuzi huo.

Pamoja na akaunti yake kuwa na mamilioni ya watu, Salah hakuwa na mbwembe nyingi za mtandaoni.

Uamuzi wake unaonyesha kwamba kuna jambo halipo sawa, labda na Liverpool au Shirikisho la Soka la Misri.

Hata hivyo mmoja wa rafiki zake wa karibu, amesema, Salah atarejea mtandaoni hivi karibuni

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad