Msanii wa Bongo Fleva, Sheta amelipongeza Kundi la Navy Kenzo kwa kuefanikiwa kushinda tuzo ya Sound City MVP.
Tuzo hizo ambazo zilitolewa usiku wa kuamkia jana Lagos nchini Nigeria, Navy Kenzo wameshinda kwenye kipengele cha Kundi Bora.
"Hongera sana kwenu Navy Kenzo You guyz make Us proud, Lets support Our Own," ameeleza Shetta.
Navy Kenzo ndiye wasanii pekee kutoka Tanzania walioshinda tuzo hiyo kwa mwaka huu licha ya wingine kuteuliwa kushiriki.
Shetta Atoa ya MOYONI kwa Navy Kenzo Baada ya Kupata Tuzo ya Sound City MVP.
0
January 07, 2019
Tags