Shilole afunguka ishu ya kumzalia mtoto Uchebe
0
January 29, 2019
Msanii wa Muziki, Shilole amesema kuwa anatamani kumzalia Mume wake mtoto lakini kwa bahati mbaya hajabahatika kupata mimba.
Shishi amesema kuwa na yeye anatamani amzalie mume wake iwe kama zawadi.
"Mimi mwenyewe natamani nimzalie, na yeye pia anatamani nimpe kama zawadi," Shilole ameiambia e- News ya EATV.
Tags