Web

VIDEO:Kombora lingine kwa Lissu ''RAHA ya Tusi Mtukane Mtu Limuingie Alafu Alete Ngumi'' Polepole

Top Post Ad


Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) amemtupia kombora Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kufatia mahojiano yake katika kipindi cha BBC cha HardTalk na kusema kuwa raha ya tusi mtukane mtu limuingie alafu alete ngumi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI

Below Post Ad

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.