Umaarufu Wamponza Idriss Ajuta Kisa Hiki Hapa

Umaarufu  Wamponza Idriss Ajuta Kisa Hiki Hapa
Mchekeshaji Idris Sultani amesema kutokana na kuwa maarufu amejikuta akichukuliwa poa na baadhi ya watu.

Akizungumza na Clouds TV amesema hiyo na toafati na hapo awali apokuwa akifanya kazi ya upigaji picha.

"Kuna watu wanakuwa ananinyanyapaa sana, hata wenye heshima zao, kuna wengine unatamani ufanye nao kitu lakini anakuchukulia poa," amesema Idris.

Ameendelea kwa kusema, 'Inafiki wakati nawaza nisingekuwa maarufu nikabaki kuwa mpiga picha kama nilivyokuwa tungefanya kazi vizuri,'.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad