VIDEO: Hatimaye MONALISA na Mwanae Wafunguka A to Z Kuhusu Kufaulu...Mtoto wa Kajala Atajwa

Mwigizaji Monalisa amezungumza baada ya kushare matokeo ya ufaulu ya mwanae kwenye ukurasa wake wa Instagram ambapo yalizua gumzo mtandaoni kwa baadhi ya mashabiki ambao walikuwa wakidai matokeo ya mtoto wa Kajala ambaye alikuwa akisoma shule moja na mtoto wa Monalisa.

 Monalisa amezungumza sababu ya yeye kuyapost matokeo hayo na kama mwanae angefeli je angeweza kupost? vipi matokeo ya mtoto wa Kajala aliyekuwa rafiki na mtoto wake?

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Video.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad