VIDEO: Matrafiki Wapigana na Kondakta wa Fuso Tunduma..Trafiki Mmoja Aamua Kutumia Meno

Kuna video nimeoina kwenye group letu la WhatsApp inaonesha matrafiki watatu wakipigana na kondakta wa fuso

Ngumi zilikuwa Kali hadi kupelekana chini,trafiki mmoja kamng'ata konda

Ni mambo ya aibu sana kwa wanayofanya hawa TrifikiCCM na huyo aliewatuma wakusanye mapato

CHEKI:

Jamii Forums

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad