VIDEO: RC Paul MAKONDA 'Alivyomuita Diamond na Tanasha Awafungishe Ndoa'


Usiku wa januari 27, Ofisa habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, amefanya uzinduzi wa pafyumu yake inayoitwa ‘De Le Boss’ sambamba na kuzindua Haji Mnara Foundation aliyoianzisha kwa ajili ya kuwasaidia watu wenye ulemavu wa ngozi.

Uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Hyatt Regency Posta na kuhudhuriwa na mastaa wengi pamoja na viongozi wa serikali akiwemo Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

Alipopewa fursa ya kuzungumza RC Makonda amempongeza Manara kwa hatua hiyo kubwa na kisha kumuita Diamond Platnumz na mpenzi wake Tanasha mbele ya shekhe mkuu wa mkoa wa Dar, Alhad Musa Salim,  na kuwatishia kuwa angewafungisha ndoa ya mkeka.

VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad