VIDEO: Viongozi wa Yanga Walia na Gazeti la Musiba, Wapanga Kufanya Jambo


Uongozi wa Yanga kupitia kwa Kaimu Makamu Mwenyekiti wake Siza Lyimo, umetangaza kuumizwa na taarifa iliyotolewa na gazeti la Tanzanite linalomilikiwa na mwanaharakati Cyprian Musiba kuhusu baadhi ya viongozi wa klabu hiyo kujiingizia mamilioni ya fedha. Bi Lyimo amemtaka Musiba kuweka wazi taarifa hizo za fedha hizo ili hatua za kisheria zichukuliwe au ikishindikana aombe radhi kutokana na kuwachafua viongozi hao.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad