Leo Januari 27 viongozi Kumi wa vyama vya upinzani Nchini wametoa maoni yao ya kupinga Muswada wa Mabadiliko ya Sheria kutokana Baadhi ya vipengele vya Muswada huo kuwa tofauti na Mtazamo wao dhidi ya Mwenge wa uhuru kufanywa Tunu ya Taifa sanjari na sherehe za Mapiduzi ya Zanzibar kusheherekewa ki Chama.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI