VIDEO:Diamond na Tanasha Wanusurika ndoa ya Mkeka Mbele ya Shekhe Mkuu wa DSM


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na mpenzi wake Tanasha jana usiku Jumapili Januari 27, 2019 wamenusurika ndoa ya mkeka mbele ya Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam , Alhaji Mussa Salum .


Akielezea tukio hilo, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mhe. Paul Makonda amesema kuwa yeye ndiye aliyepanga tukio hilo lakini alikosa mkeka.

VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad