Waandishi 28 Wakamatwa Wakidai Uhuru wa Vyombo vya Habari


Mamlaka za nchi ya Sudani zimewakamata Waandishi hao waliojaribu kuandamana kudai uhuru wa vyombo vya habari

Wakiwa na mabango waliandamana hadi nje ya Ofisi za Usalama wa Taifa hilo wakidai kufunguliwa kwa gazeti la Al-Jareeda lililofungiwa

Wakati huo huo, Polisi walilazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya Madaktari walioandamana kuupinga utawala wa Rais Omar al-Bashir

Wananchi wa kada mbalimbali wamekuwa wakiendelea na maandamano ya kuipinga Serikali

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad