Wasanii wa Muziki wa Injili Wampa Msaada Paskal Cassian

Wasanii was Injili Wampa Msaada Paskal Cassian
MSA­NII wa nyimbo za Injili nchini ambaye pia ni mlezi wa waimbaji wa injili Tanzania, Emmanuel Mbasha ameeleza jinsi yeye na waimbaji wen­zake walivyomfuta machozi msanii mwenzao Pascal Cassian ambaye alipata ajali ya gari siku za hivi karibuni.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad