Waziri Kigwangalla atembelea maonesho ya kimataifa Hispania

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamis Kigwangalla ametembelea banda la Tanzania katika maonesho ya kimataifa ya Feria Internacionale de Turismo (FITUR) yanayofanyika Madrid nchini Hispania  na kuzungumza na wadau wa utalii kutoka Tanzania wanaoshitiki maonesho hayo.








Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad