Waziri Lugola awashukia Askari wa Usalama Barabarani

Waziri Lugola awashukia Askari wa Usalama Barabarani
Waziri wa mambo ya ndani Kangi lugola amewashukia Askari wa Usalama Barabarani kwa tabia ya kuwatoza Madereva faini za makosa mbalimbali kwa wakati mmoja.

Ameyasema hayo akiwa ziarani Mkoani Kagera ambapo anatarajiwa kufanya ziara katika Wilaya zote za Mkoa huo.

''Gari ubovu wake ni mmoja tu kwamba gari hili ni bovu basi ni shlingi Elfu 30, mambo ya breki hazikamati, taa haziwaki, bodi limechakaa, naona uku oil inavuja yoote hayo kosa ni moja la ubovu wa gari'' alisema Lugola

Utakumbuka Waziri Kangi Lugola aliteuliwa na Rais Magufuli July 01, 2018 kutumikia nafasi hiyo na kuchukua nafasi ya Dkt. Mwigulu Nchemba.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad