Waziri Mkuu Majaliwa Amjulia Hali Mbunge Wa Misungwi, Charles Kitwanga

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimjulia hali Mbunge wa Misungwi, Charles Kitwanga ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma kwa matibabu, Januari 30, 2019.



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole, Mkuu wa wilaya ya Bahi, Mwanahamisi Mkunda ambaye anamuuguza mwanae, Tunu Kikula aliyelazwa katika hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma kwa matibabu, Januari 30, 2019.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad