Mwanadada amber rutty amefunga mtaa huku jijini baada ya kutokea mitaa flani na kukutana na mtu ambae wamekuwa wakimtuhumu kila leo kuwa ndio aliuyewaharibia sana katika mitandao ya kijamii baada ya kuvijisha picha na video wakiwa faragha na mume wake.
Ambae Rutty na mume wake walipokutana na mwanaume huyo walikamata na kuanza kumpga huku baadhi ya watu wakiwa wanaangalia bila kutaka kuingilia ugomvi huo.
Ikumbukwe kuwa wawili hao bado wako na kesi mahakamani inayohusu kuvujisha kwa video ambayo iliwafanya kukaa rumande kwa muda mrefu kidogo na hata kesi hiyo kwenda mahakamani mpaka sasa ambapo mara ya mwisho ilishindwa kusomwa kwa sababu mwanaume wa Amber Rutty alidondoka.
Hata hivyo wawili hao wanaweza kupatwa na kesi nyingine ya kuchukua sheria mkononi.
Ambe Rutty na Mumewe Wafunga Mtaa..... Wamchezeshea Kichapo Anayesabaza Mitandaoni Video Zao za Ngono
0
February 04, 2019
Tags