Arsene Wenger aitolea nje Real Madrid


Kocha wa zamani wa klabu ya Arsenal Arsene Wenger ameweka wazi kwamba alikataa nafasi ya kuifundisha klabu ya Real Madrid zaidi ya mara moja wakati akiwa anaifundisha Arsenal.

Wenger aliachana na Arsenal mwaka jana baada ya ya kuwa kwenye klabu hiyo kwa miaka 22 ambapo aliweza kushinda mataji ya ligi kuu ya Uingereza mara tatu na kombe la FA mara saba.

Kocha huyo amesisistiza kuwa mipango ya kuifundisha Real Madrid haipo kwenye mipango yake.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad