ATCL Yazindua Mfumo Wa Uuzaji Wa Tiketi Zake Kwa Mtandao Duniani Kote


Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ndege la Air Tanzania (ATCL) Injinia Emmanuel Korosso kushoto nia Mkurugenzi wa Shirika hilo Injinia Ladlsaus Matindi wakizindua ofisi ya kuuzia tiketi za shirika hilo lililopo Makao Makuu yake Mtaa wa Ohio jijini Dar es salaam ambapo pia imezindua mtandao wake kuuza tiketi mahali popote duniani na kukusanya mauzo kwa  mfumo wa Shirikisho la Mashirika ya Ndege Duniani (IATA)  kutokana na kukidhi viwango vya uanachama wa shirikisho hilo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad