Web

Barrick Waahidi Kuilipa Tanzania Bilioni 682.5, Acacia Wakana

Afisa Mtendaji Mkuu wa Barrick Gold, Dkt. Willem Jacobs ameahidi kutekeleza malipo hayo kwa mujibu wa ahadi yao kwa Serikali mwaka 2017
-
Ameongeza kuwa pia watatekeleza makubaliano ya kuendesha uchimbaji wa madini ya dhahabu kwa kushirikiana na Serikali
-
Hata hivyo Kampuni ya Acacia ambayo ina hisa nyingi ndani ya Barrick Gold imekana kupokea mapendekezo yoyote kutoka kwa Barrick kuhusiana makubalianao yake na Serikali ya Tanzania

Jamii Forums

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad