Bella: Nilikuwa nalala kitanda kimoja na Godzilla, nimejikuta tu naeleza hayo sio kiki (Video)


Baada ya msanii wa muziki, Isabela aka Bella kuweka wazi kwamba alikuwa anatoka kimapenzi na marehemu Godzilla, Bongo5 ilimtafuta muimbaji huyo na kufunguka ni kwa nini ameamua kuanika suala hilo kipindi hichi cha msiba wakati akiwa hai alikuwa anakataa.

VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad