BREAKING: Wahukumiwa kifungo cha Maisha jela kwa kuchoma moto kituo cha Polisi Bunju


Mahakama ya Kisutu imewahukumu kifungo cha maisha jela washitakiwa 8 baada ya kukutwa na hatia katika kesi ya kuchoma moto kituo cha polisi cha Bunju A, Dar mwaka 2015, wengine 10 wameachiwa huru.

Hukumu hiyo imesomwa na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba ambapo amesema kitendo walichofanya washitakiwa ni unyama kwa kuchoma moto kituo hicho.

Jumla ya washtakiwa katika kesi hiyo walikuwa ni 35 ambapo awali Mahakama ilikwisha waachia huru washtakiwa 17 na kubaki 18 ambapo 8 ndio wametiwa hatiani leo huku 10 wakiachiwa huru.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad