Cheti za kuzaliwa chamuumbua 21 Savage , chaonyesha ni mzaliwa wa Uingereza na sio Marekani

Cheti za kuzaliwa chamuumbua 21 Savage , chaonyesha ni mzaliwa wa Uingereza na sio Marekani
Siku kadhaa baada ya taarifa za 21 Savage kukamatwa na maafisa uhamiaji nchini Marekani kwa madai ya kuishi kinyume cha sheria nchini humo, cheti cha kuzaliwa kimethibitisha kuwa amezaliwa nchini Uingereza.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad