Diamond na Mpenzi Wake Wajiachia Kimahaba

Mpenzi wa staa wa Bongo fleva na Mkurugenzi wa WCB Diamond Platnumz, Tanasha Donna Oketh ameonekana kuweka maneno ya watu pembeni na kuzidi kukolea Kwenye Penzi na Diamond.  Tangu Diamond aweke hadharani kuwa yupo kwenye mahusiano na Tanasha mwaka jana mwishoni ni wazi kuwa hawajapita njia nyepesi kwani Penzi Lao linapingwa sana hasa kwenye Mitandao ya kijamii.  Lakini Diamond na Tanasha wameonekana kupuuzia maneno ya watu na kufanya mambo yao na inaonekana wazi kuwa Tanasha amekolea kwenye Penzi na Mbongo fleva huyo.   Hizi ni Picha Walizotupia Leo
Mpenzi wa staa wa Bongo fleva na Mkurugenzi wa WCB Diamond Platnumz, Tanasha Donna Oketh ameonekana kuweka maneno ya watu pembeni na kuzidi kukolea Kwenye Penzi na Diamond.

Tangu Diamond aweke hadharani kuwa yupo kwenye mahusiano na Tanasha mwaka jana mwishoni ni wazi kuwa hawajapita njia nyepesi kwani Penzi Lao linapingwa sana hasa kwenye Mitandao ya kijamii.

Lakini Diamond na Tanasha wameonekana kupuuzia maneno ya watu na kufanya mambo yao na inaonekana wazi kuwa Tanasha amekolea kwenye Penzi na Mbongo fleva huyo.


Hizi ni Picha Walizotupia Leo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad