ESMA Ageuka Chui Kuulizwa Malezi ya Watoto wa Zari



Dada wa msanii diamond platinumz amegeuka kuwa mbogo hasa baada ya mwandishi wa habari kumuuliza wao kama famili ya Diamond wanajiskiaje pale wanaposikia mama watoto wa watoto wa Diamond zari anapotangaza katika mitandao kuhusu kutelekeza watoto wake.

Zari amekuwa akisema kuwa baba wa watoto wake hana anachojali kuhusu watoto hao na kwamba kila kitu kwa sasa anajua yeye mwenyewe.

Mtangazaji alipouliza kuhusu swala hilo ESMA alikuwa mkali na kusema kuwa kuna baadhi ya mambo hana haja ya kuyajibu kwa sababu hayamhusu kuyaongelea.

"Sitaki kuulizwa habari zake, unaniuliza mimi kwani zinanihusu.Kwani mimi ni Diamond, sitaki mambo ya ajabu ajabu …(tusi)"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad