EXCLUSIVE: Poshy Queen Aliyekamatia Fursa ya Umbo Lake na Kuuza Vigodoro

Mrembo Poshy Queen anayetamba mtandaoni ameamua kutumia fursa baada ya watu wakumuandama mtandaoni kuhusu umbo lake kwa kudaiwa kuwa ametumia dawa za kichina ili kuongeza sehemu za mwili wake, sasa Poshy kazungumza kupitia AyoTV na millardayo.com kuonesha fursa aliyoitumia kuhusu umbo lake.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad