Bunge huyo wa Kawe kupitia CHADEMA alikuwa akishikiliwa katika Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar‬ tangu jana
Alikamatwa akidaiwa kutoa maneno ya uchochezi katika mkutano wa hadhara alioufanya maeneo ya Mikocheni jijini Dar Februari 21‬, 2019
Jana, Mdee kupitia ukurasa wake wa Twitter aliandika kuwa ameitwa kituoni hapo kwa mahojiano na baada ya mahojiano alikamatwa na kuwekwa mahabusu na kisha kunyimwa dhamana